Wednesday, 16 December 2015

Prefect wa Mtaa

[My kind of Sheng'] Kroxti:

Kuna machwom kazaa mi natambua hii mtaa na bila kukazia, vitu zingine ka hizi hukam in handy kukinuka. Nimejaribu one-two, one-two na natambua zile vitu zinawork na zile zinahitaji effort ziada zaidi. Kumaanisha naweza okolea base inahitaji msaada ama niencourage newcomer anazipitia. Kuobserve ishakuwa hobby na kulearn ikakuwa desturi. Kuna vitu enough simind na kuna zile ntapigia debe. Tried and tested. Tried and tasted. Kuna graffiti moja mbili nimeorchestrate na kuwin ni kitu siwezi mind kudemonstrate. Learn na me.. Grow na me. Mchezo mchezo hivi tutakuwa tumefika place wengine hawawezi. Jua na mwezi; we look up to. Na kila mwezi full, I look up, juu. Ju iko vile kukiumana lazma ukuwe na meno ngumu zaidi; ulimi tamu zaidi na attitude ya juu zaidi. Ambia wale wasee walilose hope na wewe hii ndo time ya kujiredeem. Uskonde msupa, uskonde kaka brazza. Hatukufundishwa poa kuwin on our own.. Ndo reason tunacopy sana. Kama unaremember fiti methali kazaa, utakumbuka ukiiga ndovu kunya utapasuka huko down. Tbh, hiyo ni tragic. Tujipende na tujue what's enough bila kujilimit. Ama ilikuwa ujue aje we ni ndovu ukiishi ka chura? I hope sikupandisii but ka unaniwahi, unaniget, tukate hii ticket tusafiri pamoja. Njia si fupi lakini tukifika utajua.

No comments:

Post a Comment