Monday 19 October 2015

Ugali na Salad

[My Kind of Sheng'] Kroxti:


Ni poa ukijua place unastand in any equation. Ndo juzi vile kulihappen, mi na maboyz wangu tumechemsha chai tukarealize hatukuwa na sukari. Ilibidi tuikunywe tukipiga story tamu. Na hivi ndo venye ko hugo. Unacheki some times vitu hunjoo at the right time, zingine zo huchelewa. Tactics za Mungu hatuzijui lakini kitu natambua ni vile kila kitu hufall in its place time yake ikiwasili. Tusigive up virahisi na in its place, tugive thanks virahisi. Itakuwaje reasonable kukula ugali na sukumawiki lakini tushtuke morio akiangusha ugali na salad? Wale watu wamekula nyamchom bafore wanatambua utamu ya ugali na kachumbari. It's almost the same thing. Ni vile maze kachumbari huniamaze. Yo hukuwa imespiciwa viappropriate. Vimindblowing sana. Msee alifikiria hiyo idea anadeserve trophy ka mbili, so mchezo. Nishampigia debe na ukikaranga poa pia unajua harufu huleta neighbors through kuomba chumvi. Seriously, ukiona vyaelea, unafaa kujua vimeundwa. Lettuce ni majimaji na pia ina utamu yake. Ka favourite yako ni cabbage pia come na me. Ukiwa na njaa nimegundua kila njia ni option, bora tumbo itulie. Na shida hukuwa ukistarve sana, nguvu zo hulost pia. Ndo before ufike hiyo base ya kuchoka, skiza ya mpita njia. Karibia ntakuambia siri, my dear. Zile vitu unataka sana usjai wacha kuzitaka. Chapa works saa hii na usiwahi ogopa kudream bigger. Ya historia haijalishi, utarusha mbali kushinda Julius Yego. Na siwezi kudanganya, kila kitu unadai iko tu mbali kiasi. Kaza mwendo some more na jaribu kuwaza more. Usiogope kuongea; ogopa kuongea bila kumake sense. Na njaa ikikuchapa, usiogope kutry ugali moto hata kama ni na salad baridi. Naweza kuassure; this to you, might be the best of both worlds.

1 comment:

  1. Hahaha.... Msee, umekam sana sasa... Lol... Good job... Btw, salad skuizi ni skuma?

    ReplyDelete